rama halavi
JF-Expert Member
- Nov 20, 2015
- 269
- 236
Habarini za mchana wadau, Natumai mko poa na mnaendelea na harakati za kutafuta maendeleo.
Wadau nahitaji kwa mwenye uzoefu kuhusu pikipiki anisaidie kuchagua kati ya boxer 150 na Tvs hlx 150. Nahitaji kujua ipi ni bora kibiashara na uimara kwa hapa mjini maana nafikiria kununua pikipiki kwa ajili ya biashara ya bodaboda na pia kuitumia kama usafiri wa kunipeleka na kunirudisha nyumbani pindi ninapotoka katika shughuli zangu. nataka niwe nampa mtu diewaka siku nzima halafu jioni naondoka nayo mwenyewe na kumpa tena siku inayofuata.
Natanguliza Shukran Zangu
Shukran kiongozi kwa maelezo yakoTVS HLX 150 ni ngumu sana huwezi zikuta zimeharibika kiurahisi, usipojali bei ghali ya spea zake basi mostly ni genuine!!...
Na umesema ni kwa matumizi yako binafsi basi chukua TVS HLX 125 inaenda Km 65-70 kwa lita moja fikiria umesave kiasi gani!!!!...
Biashara ya bodaboda nayo iko na changamoto nyingi,hasa kama unampa my hiyo pikipiki. Hivyo fanya na kautafiti kidogo walau upate ABC ili usije kujuta kesho.Habarini za mchana wadau, Natumai mko poa na mnaendelea na harakati za kutafuta maendeleo.
Wadau nahitaji kwa mwenye uzoefu kuhusu pikipiki anisaidie kuchagua kati ya boxer 150 na Tvs hlx 150. Nahitaji kujua ipi ni bora kibiashara na uimara kwa hapa mjini maana nafikiria kununua pikipiki kwa ajili ya biashara ya bodaboda na pia kuitumia kama usafiri wa kunipeleka na kunirudisha nyumbani pindi ninapotoka katika shughuli zangu. nataka niwe nampa mtu diewaka siku nzima halafu jioni naondoka nayo mwenyewe na kumpa tena siku inayofuata.
Natanguliza Shukran Zangu
Kwahio ltr 5 unafika Moro toka Dar kiroho safiTVS HLX 150 ni ngumu sana huwezi zikuta zimeharibika kiurahisi, usipojali bei ghali ya spea zake basi mostly ni genuine!!...
Na umesema ni kwa matumizi yako binafsi basi chukua TVS HLX 125 inaenda Km 65-70 kwa lita moja fikiria umesave kiasi gani!!!!...
Shukran ndugu hebu ngoja nifanye kautafiti kidogoBiashara ya bodaboda nayo iko na changamoto nyingi,hasa kama unampa my hiyo pikipiki. Hivyo fanya na kautafiti kidogo walau upate ABC ili usije kujuta kesho.
Kiongozi mbona umeguna!!! Mchango wako unahitajikaDuuuhhh
[emoji2] yeahKwahio ltr 5 unafika Moro toka Dar kiroho safi