Aiseee! Unafaa kabisa kuwa mpiga lamri chonganishi, ni kweli kabisa ulichosema ndivyo nilivyo, ndio maana mada zingine huwa naamua kumwagia maji tu badala ya kupaka chokaa mladi twende sawa.Mtu ambae hataki kuumiza akili kufikiri mambo, yaani mjusi siku zote akili yake ni ndogo.
GonjaKwahiyo ni mpare wa ugweno
Aisee,Niliwahi kutumia jina la mnyonya mbususu
Ina sikitisha sanaNi jina langu halisi
Ina sikitisha sanaNi jina langu halisi
Kwanini usitumie jina lako halisi au unaogopa kutekwa na kupotezwa,binafsi na tumia jina langu la kutafutia ugali,kwani maisha haya connection,ukipotea kwenye connection ni sawa na adhabu ya kifo,sasandugu zangu mnawezaje ku fake na maisha yakaenda?Ilikuwaje mpaka ukafikiria kulitumia hilo jina? What was the motive behind it?
Na je, kuna namna yoyote linaakisi maisha yako yalivyo, yalivyokuwa au yatakavyokuwa?
Mimi binafsi hili jina langu ni kwasababu naupenda sana mchezo wa poker na pia sipendi kutabirika sana kutokana na mchezo wenyewe unavyotaka.
Niliwahi kutumia jina la mnyonya mbususu ila members wakawa wananireport asubuhi, mchana na jioni. Sijui lilikuwa linawakera nini lile jina.
Ni jina la ukooKwanini ukifa hutaki mke wako aolewe?
Mimi naelewa maana ya Mbaga ni mtu anaependa kupuyanga, yaani kama ni kunyoa basi ni kupuyanga puyanga juu juu tu, sijui kama nipo sahihi tukuulize wewe mwenyewe labda.Ni jina langu halisi
Sema labda hupajui au hujakulia huko, una vituko sana we dogo😅Gonja