Just one, ungeweka "All" ikasomeka win-all, sema hilo la Win-one limekaa ki rembo zaidi, linakufaa😏😎niliambiwa mimi ni mshindi toka nipo mdogo na mimi ndo napita humo humo sema nikafanya kuiwekea hiyo nakshi ya one"🤭😅😅
Ee😍oooh kumbe😊😄
ukitaja neno urembo unanitia hasiraaa😄😄,, ila kweli mimi sio m baya tatizo ni finishing 😜😎Just one, ungeweka "All" ikasomeka win-all, sema hilo la Win-one limekaa ki rembo zaidi, linakufaa😏😎
Yaani,amenusa huyu😍Kabisa My Wi.
Karibu. 😍
Hahahàaa. Kabisa yaani.Yaani,amenusa huyu😍
HahahahahhaHahahàaa. Kabisa yaani.
Wadigo hatutupaniDaah! Mkuu naona umetujazia minyama. Lol.
Ahsante.
Km ungeitwa Ben ingesomekaMimi ni jina la ukoo ndo ninalo tumia mkuu
Am 4 real, kama jina langu nipogo so real.Ilikuwaje mpaka ukafikiria kulitumia hilo jina? What was the motive behind it?
Na je, kuna namna yoyote linaakisi maisha yako yalivyo, yalivyokuwa au yatakavyokuwa?
Mimi binafsi hili jina langu ni kwasababu naupenda sana mchezo wa poker na pia sipendi kutabirika sana kutokana na mchezo wenyewe unavyotaka.
Niliwahi kutumia jina la mnyonya mbususu ila members wakawa wananireport asubuhi, mchana na jioni. Sijui lilikuwa linawakera nini lile jina.
Unyama sana bwashee