Ipi sababu ya kibaiologia inasababisha walemavu wa akili kuwa na maumbile ya kiume makubwa ukilinganisha na watu wa kawaida?

Hypersonic WMD

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2024
Posts
1,337
Reaction score
1,876
Kama umechunguza hili utaungana na mm kua walemavu wengi wa akili huwa na maumbile ya kiume kubwa oversize tofauti na wastani

Je ni sababu gani ya kibaologia inayochangia hawa watu kuwa na neema hii adimu!!

NB: Kwa ajili ya kujifunza si vinginevyo
 
Umeona mijegejo mingapi ya mentally health individuals.
1000092004.jpg
 
Ahahahahah..
Umenifanya nicheke maana umenikumbusha mwaka 2022 pale maeneo ya steshen posta ukitoka kupanda dala dala ukawa unakuja mtaa wa samora, ilikua asubuh ile kukunja tu kona nona chiz kaka chali halaf kachomoa uboo umedindaaaa umesimama yeye kalala hana habari... bas wanawake woote waliokua mbele yangu niliona wanauangalia bila kupepesa, chuz hana habari
 
Haaahaa,
Inamaana walikua wanamtamani 😊
 
Kama umechunguza hili utaungana na mm kua walemavu wengi wa akili huwa na maumbile ya kiume kubwa oversize tofauti na wastani

Je ni sababu gani ya kibaologia inayochangia hawa watu kuwa na neema hii adimu!!

NB: Kwa ajili ya kujifunza si vinginevyo
Katika kila unachoona kuwa ni disability kwa mtu, jua kuna aina fulani ya compensation anakuwa nayo, ni vile tu watu wana focus na kile chenye mapungufu
 
Ahahahahah..
Umenifanya nicheke maana umenikumbusha mwaka 2022 pale maeneo ya steshen posta ukitoka kupanda dala dala ukawa unakuja mtaa wa samora, ilikua asubuh ile kukunja tu kona nona chiz kaka chali halaf kachomoa uboo umedindaaaa umesimama yeye kalala hana habari... bas wanawake woote waliokua mbele yangu niliona wanauangalia bila kupepesa, chuz hana habari
😂😂😂😂nimecheka sana😂😂😂
 
Back
Top Bottom