Ipi sababu ya wasabato kujizolea sifa ya kutokuwa walevi tofauti na madhehebu mengine ya wakristo?

Kulingana na mada umejibu op
 
Dhehebu la Waadventista wa Sabato ni dhehebu ambalo linaamini katika biblia na biblia pekee kwa maana ya kuwa linafuata vile tu biblia isemavyo

Kwa hiyo sababu ya kwanini hawatumii kilevi ni kwa sababu biblia imekataza utumiaji wa kileo
 
Wasabato ni waislamu zaidi kuliko wakristo
 
Usisingizie biblia haija ruhusu pombe
Inaweza isiseme inaruhusu, lakini pia isiwe imekataza. Ni kama vile ambavyo haijakataza kula panya, haina maana kula panya ni dhambi kwa kuwa haijatamka kuruhusu
 
Vipi na sisi wasabato ambao hata soda kwetu ni haramu?
 
Kwa hivyo cocacola wanakunywa maana ina caffeine pia
 
Wadanganye wengine bana, hawa jamaa kila siku tunakunywa nao K Vant na kitimoto huku mitaani kwetu
 
Na Ile ya kupewa mademu 70!.. Hawa jamaa Kama pepo IPO watafaidi
 
Ulevi ni very subjective mkuu. Kuna watu huwezi kuwaona wakila nguruwe kabisa, ila effect ya soko utaiona mwezi mtukufu.

Hivyo katika msafara wa mamba, lazima kenge wawepo tu, na dini haina jinsi ya kuwa-control.
We jamaa mchokozi sana!watu wapo kwa wasabato ila we unalenga kwingiine kabisa aisee!
 
Ulevi ni very subjective mkuu. Kuna watu huwezi kuwaona wakila nguruwe kabisa, ila effect ya soko utaiona mwezi mtukufu.

Hivyo katika msafara wa mamba, lazima kenge wawepo tu, na dini haina jinsi ya kuwa-control.
Hii haina ukweli wowote. Hata maeneo ambayo hayana waislam au waislam ni wachache sana nao husema hivyo hivyo. Yani ni ka msemo ka kudhihaki dini fulani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…