vitabu vyetu vya uraia vinavyotumika kufundishia vimeeleza vipi kuhusu hizo statement mbili, naombeni msaada kwa mwenye kufahamu hilo huenda kipo kitabu cha kiada kinachosema TANZANIA IMEPATA UHURU 1961 hivyo kupotosha wanafunzi na kupelekea kufeli
Nakushukuruni kwa majibu yenu Kapu, Makbel na srombo. Sahihi ni Tanzania imepata uhuru 1961 kwa sababu tanganyika ilibatizwa kwa jina la tanzania 1964 hivyo tanzania kuanza kusimama kama tanganyika na kuchukua sifa zote za tanganyika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.