Ipi sentensi sahihi kati ya hizi?

Ipi sentensi sahihi kati ya hizi?

"On" inatokea wapi apo....apo ni "in" tu...kwanza tuelewe maana ya in na on kwa kiswahili....Ni kweli kiingereza kimekuwa kigum namna hii au ni foundation hatuna
 
Kwa mfano nimepigiwa na rafiki yangu nataka kumueleza nipo kwenye basi kwa kingereza ipi ni sentencing sahihi kati ya hizi

Which is correct, “I am in the bus” or “I am on the bus”?
IPO sahihi kulingana na status ya gari kama Lina move tumia on kama lipo tumia in
 
Do you travel by bus or with bus? Today a lady was shouting "I'm traveling with a bus"
 
Kwa mfano nimepigiwa na rafiki yangu nataka kumueleza nipo kwenye basi kwa kingereza ipi ni sentencing sahihi kati ya hizi.

Which is correct, “I am in the bus” or “I am on the bus”?
In
 
Back
Top Bottom