Kyatile
JF-Expert Member
- Feb 5, 2017
- 1,730
- 1,571
Leo nimeenda dukani kununua Galaxy A35 yenye storage ya 256 GB na kwa bahati mbaya sikuipata.
Katika kuangaza macho nikaiona iphone 12 pro used ina battery health ya 86%. Nikavutiwa kuikagua na kweli bado ina vitu kadhaa vinavyovutia ila sikushawishika kuinunua hiyo pamoja na kuwa na bei sawa na A35.
Kwa wazoefu wa hii iphone 12 pro naomba mnisadie kujua kuhusu,
👉Uwezo wa battery(charge inakaa muda gani kwa mtu anayetumia simu kwa ajili ya internet browsing?)
👉Smoothness of transition btn apps na animations ukizingatia haina refresh rate kubwa,
👉Ubora wa picha kwenye mwanga hafifu
Karibu kwa mawazo yenu