Ni malengo na maamuzi.
Ukishampata yule ambaye unahisi ni sahihi kwako, basi unaachana /au kurekebisha mapungufu /dosari zinazotokea baina yenu na unafanya /unadeal na yale ambayo ni malengo ya kwanini hasa umeamua kutulia nae.
Usitabirike mzee baba yani usieleweke ratiba yako sometime malengo yako anyone ambae hajui your next move atakaa kukusoma so kama hakujui atakusoma sana kwa mda mrefu unashangaa miaka mbao hii hapa baba unapiga anniversary