Ipi sound bar bora kati ya hisence watt 200 na lg watt 300

Ipi sound bar bora kati ya hisence watt 200 na lg watt 300

KIXI

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2015
Posts
1,955
Reaction score
2,465
Habari member kama title inavyosema ipi sound bar kati ya hizo ni bora coz mimi sina uzoefu na redio nahitaji tuchukue moja kati ya hizo
 
Angalia model, specs na features,
Mfano
Angalia model, specs na features,
Mfano picha no1 ni LG picha no 2 ni hisence

20210426_203544.jpg


Screenshot_20210426-203401_WhatsApp.jpg
 
Mkuu unazifahamu HT za Mr UK?? Vipi is it worth ? 375K 1000 W?

Vipi ushauri wako juu ya hii HT?
Sijawahi sikiliza hizo mkuu ila nimeipenda Kodtec kwa kweli! Katika systems za kichina alionikosha ni huyu tu!
 
Back
Top Bottom