Ipi sound bar bora kati ya hisence watt 200 na lg watt 300

Ipi sound bar bora kati ya hisence watt 200 na lg watt 300

Sound bar chini ya 600W ni kuleta kichekesho nyumbani unless unawaletea watoto kuangalia cartoon.
 
Kwa LG,Hisense Durability ni low ningekushauri kama unataka soundbar nzuri na ya kudumu muda mrefu angalia hizi
SONY,Samsung,JBL,Boose
 
Hapo amazon kuna home theatre brands za mpaka laki 3kulingana nchi utakayohitaji
 
Back
Top Bottom