Haaaahaaaaaa unanilumbusha siku ile wanatoa droo na yanga nilihuzunika kwa lile goli ila nikaja kucheka ile style yake ya ushangiliaji yaani ni kama mtu ambae kuna jambo lilikuwa linamsumbua muda mreeeeefu (mfano kodi km ulivyosema,mkopo,ada) sasa kalimaliza anawaringishia wapambe nuksiIle style ya Steven Set wa Namungo Fc, anachomekea jersey yake Kisha anaanza kutembea huku akiwapungia mkono mashabiki kwa tabasamu Kama mtu aliyelipa Kodi Jana anapokutana na baba mwenye nyumba asubuhi.
Anaitwa KidiabaIle staili ya golikipa wa Congo Dr anarukaruka huku amekaa huwa inafurahisha sana
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Haswaaa!!..staili ya Gnabry kama anakoroga flani hivi. View attachment 1663558
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] sasa sjui huwa anakoroga nini yule jamaaHaswaaa!!..
ile game ya Uefa Bayern vs Spurs alipiga goli kama 3 peke yake halafu anawakorogea kama hivyo.