Ipi ‘style’ ya kushangilia goli inayokuvutia kwenye soka?

Ipi ‘style’ ya kushangilia goli inayokuvutia kwenye soka?

Kwanini, naona aliacha kutumia hapo katikati mpaka juzi Kati alipofunga goli ikabidi Eric Baily amwambie ashangilie Kwa staili yake aliyozoea na Cavani akafanya hivyo.
Refaree aliona kama ni kuwakashifu mashabiki wa timu pinzani hivyo akaamua ampe red
 
Nwanko Kanu alikua akishangilia kwa kuonyesha kama bastola.naona mwamba kaja na gobole kabisa.
images%20(1).jpg
 
Bafetimbi Gomis ile style yake naipenda sana mpaka alipokuja mahali nilipokuwa nafanyia kazi nikamuomba tupige picha pamoja,sijawahi kujishisha kiasi hicho kuomba picha na mtu mpaka nilipokutana na Bafetimbi!
 
Kubwa kuliko yote Kuna mchezaji kutoka Africa anaitwa camera anachezea major league soccer....

Alipiga goli ,shangilia yake akaanza kutwerk mpk mademu wa kizungu wakachanganyikia [emoji23][emoji23][emoji23] refa akampiga yellow....

Ilikuwa hatari mpk kwenye vyombo vya habari ilikuwa gumzo maana mademu walilalamikia Sana ile kard.... nadhani ile miuno iliwachanganya[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom