Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hyo staili ya Cavani alishawahi kupewa kadiRobinho ile staili ya kubembeleza mtoto, Carlos Tevez na staili yake ya kunyonya Chuchu ya mtoto, Edson Cavani staili ya kuchukua mshale na kulenga.
Mkuu umesema Swansea nimekumbuka na ile style ya MICHU.Jonathan De Guzman (Swansea 2012/13)View attachment 1663552
Kwanini, naona aliacha kutumia hapo katikati mpaka juzi Kati alipofunga goli ikabidi Eric Baily amwambie ashangilie Kwa staili yake aliyozoea na Cavani akafanya hivyo.
Hiyo nayo inawakera mashabiki
Refaree aliona kama ni kuwakashifu mashabiki wa timu pinzani hivyo akaamua ampe redKwanini, naona aliacha kutumia hapo katikati mpaka juzi Kati alipofunga goli ikabidi Eric Baily amwambie ashangilie Kwa staili yake aliyozoea na Cavani akafanya hivyo.
Ile game ilikuwa ya Bayern kuanzia dakika ya kwanza ya mchezo ...commentator kuna muda alisema chelsea wanacheza kama hii game ina second leg kwamba wataenda kupambana nyumban...muller alipofunga kila mtu alijua game imeisha.Arjen Roben na Frank Ribery walikosa pozi kabisa
Nwanko Kanu alikua akishangilia kwa kuonyesha kama bastola.naona mwamba kaja na gobole kabisa.
Ile Kadi alipewa akiwa PSG sababu alipokuwa anashangilia alionyesha kama kumlenga golikipa wa timu pinzani na mashabiki. Refa akatafsiri kama anawakashifu wapinzaniRefaree aliona kama ni kuwakashifu mashabiki wa timu pinzani hivyo akaamua ampe red
Umenikumbusha mbali Sana Yan...