0ozg Tz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 4,155
- 11,168
Hii style utaiona inakera kama ataifunga timu unayoipendaIle style ya Steven Set wa Namungo Fc, anachomekea jersey yake Kisha anaanza kutembea huku akiwapungia mkono mashabiki kwa tabasamu Kama mtu aliyelipa Kodi Jana anapokutana na baba mwenye nyumba asubuhi.