Ipi ‘style’ ya kushangilia goli inayokuvutia kwenye soka?

Ipi ‘style’ ya kushangilia goli inayokuvutia kwenye soka?

Napenda sana shangilia ya Steven Seyi wa Namungo kuchomekea jezi kisha kupungia mkono mashabk,

pía kuna mchezaji wa Mwadui FC Wallace Kiango akifunga huvua kiatu kisha hukiweka sikioni dizaini kama anapiga simu
 
Ile style ya Steven Set wa Namungo Fc, anachomekea jersey yake Kisha anaanza kutembea huku akiwapungia mkono mashabiki kwa tabasamu Kama mtu aliyelipa Kodi Jana anapokutana na baba mwenye nyumba asubuhi.
Steven Seyi,kiongozi
 
Haaaahaaaaaa unanilumbusha siku ile wanatoa droo na yanga nilihuzunika kwa lile goli ila nikaja kucheka ile style yake ya ushangiliaji yaani ni kama mtu ambae kuna jambo lilikuwa linamsumbua muda mreeeeefu (mfano kodi km ulivyosema,mkopo,ada) sasa kalimaliza anawaringishia wapambe nuksi
Mi napenda ile ya Mukoko Tonombe
 
Ronaldo anakwambia tulia tulia
IMG_20210102_163958_519.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20210102-163748.jpg
    Screenshot_20210102-163748.jpg
    41.2 KB · Views: 2
Ruud van nesterlooy nae alikuwa akishangilia vibaya asee
 
Mchezaji ambaye hajui kushangilia ni origi wa Liverpool.Anafunga magoli ya muhimu na ya ushindi ila kapoa wakati angekua Steve Gerald au Dorga Dunia ingesimama

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Kaangalie ile game uefa Barcelona anapigwa nne

Uone origi alivokuwa anashangilia
 
Back
Top Bottom