Ipi ‘style’ ya kushangilia goli inayokuvutia kwenye soka?

Ipi ‘style’ ya kushangilia goli inayokuvutia kwenye soka?

Napenda ushangiliaji wa kawaida tu, mfano Messi, Maradona n.k. ushangiliaji wao naupenda, na co wa misifa. Wasukuma 2nasema ivi "Mashkolo mageni"
 
Serge gnabry anashangilia vile akimuigiza staa wake wa NBA James harden ambaye anashangiliaga ivo akimaanisha chef Cooker ndio mana serge mda mwngine tunamuita chef cooker
Kumbe ana maanisha kuwa anapika..

noma sana
 
Ile style ya Steven Set wa Namungo Fc, anachomekea jersey yake Kisha anaanza kutembea huku akiwapungia mkono mashabiki kwa tabasamu Kama mtu aliyelipa Kodi Jana anapokutana na baba mwenye nyumba asubuhi.
Hahaa wanasema inaitwa "UKIPUNGIWA NAWE PUNGA" ..Namkubali sana huyu jamaa nahiyo stail yake
 
Ile ya kukaa juu ya mlingoti wa juu wa goli dah nammisi sana El-Hadary aliyekuwa kipa wa Misri
 
Tim Cahill mwamba wa vichwa pale Goodson Park..
Niliipenda sana style yake kama yuko ulingoni vile..

Wayne Rooney aliwahi kuiiga kipindi flan hivi...
 
Tim Cahill mwamba wa vichwa pale Goodson Park..
Niliipenda sana style yake kama yuko ulingoni vile..

Wayne Rooney aliwahi kuiiga kipindi flan hivi...
Mzee mwenzangu za masiku?
 
Back
Top Bottom