Ipi suluhu ya kuboresha uwezo wa kuona?

Nina muda sana sijala karoti
 
Nitajaribu piaa
 
Msidanganyane, macho matatizo hayafanani, na tatizo la macho ni kubwa kuliko watu wanavyofikiri.

Sasa hivi kuna tatizo kubwa sana la cataract yaani mtoto wa jicho, hii solution yake ni oparesheni tu na unawekea artificial rens maisha yanaendelea fresh tu.

Kwa wasiokuwa na uwezo wa kugharamia cost za oparesheni hii ambayo inacost hadi million 3 wafadhili wapo wanaogharamia cost hizi, mwenye tatizo la cataract naweza kumlick akafanye oparesheni ni salama wala haina shida.

Tatizo la macho ukiendekeza magumashi na bush doctors utaishia kwenye upofu, ni lazima utapata upofu sitanii.
 
Ikiwa Ni mtoto wa JICHO kapasuliwe na SI kila tatizo la uoni hafifu Ni mtoto wa jicho
 
Mkuu nimependa huu ushuhuda, hii dawa alikuelekeza nani kiongozi?
 
Natumae mleta mada ulipata muongozo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…