The Garang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 2,880
- 4,830
- Thread starter
- #21
Let me try itNami nimepewa miwani, nimeiweka kapuni. Sasa nipo na dozi ya karoti na mboga majani nikiamini nitapona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Let me try itNami nimepewa miwani, nimeiweka kapuni. Sasa nipo na dozi ya karoti na mboga majani nikiamini nitapona
Sawa kaka asanteKunywa maji mengi mkuu.
Nina muda sana sijala karotiMi nakumbuka nilipewa miwani hospitali fulani na watu kutoka asia baada ya kunipima, lakini nikajiapia moyoni sitakuja kuvaa miwani abadani,miwani nikaihifadhi sehemu...sijui Nini kilinituma ktk nafsi yangu nikajikuta nina bili ya mbogamboga ,karoti.kila siku nilikuwa lazima nile hivyo vitu kama nusu mwaka hivi nikapona freshi tu,hadi Sasa...
Nitajaribu piaaSIO KWELI NILIVAA MIWANI KWA MIAKA 23 TOKA NIKIWA NA UMRI WA MIAKA 5 SIKUPONA UONI HAFIFU.!
LAKINI NILITUMIA TIBA MBADALA YA KUNYWA CHAI YA MAJANI YA GREEN LABEL ISIYO NA SIKARI KWA TAKRIBANI MWESI 1 HADI LEO HII SIVAI MIWANI NA NINA ONA VEMA .NI MIAKA 15 SASA TOKA NILIPO TUMIA CHAI HIYO YA RANGI NA YA KAWAIDA KABISAA
Ikiwa Ni mtoto wa JICHO kapasuliwe na SI kila tatizo la uoni hafifu Ni mtoto wa jichoMsidanganyane, macho matatizo hayafanani, na tatizo la macho ni kubwa kuliko watu wanavyofikiri.
Sasa hivi kuna tatizo kubwa sana la cataract yaani mtoto wa jicho, hii solution yake ni oparesheni tu na unawekea artificial rens maisha yanaendelea fresh tu.
Kwa wasiokuwa na uwezo wa kugharamia cost za oparesheni hii ambayo inacost hadi million 3 wafadhili wapo wanaogharamia cost hizi, mwenye tatizo la cataract naweza kumlick akafanye oparesheni ni salama wala haina shida.
Tatizo la macho ukiendekeza magumashi na bush doctors utaishia kwenye upofu, ni lazima utapata upofu sitanii.
Wapi nimesema hivyo?Ikiwa Ni mtoto wa JICHO kapasuliwe na SI kila tatizo la uoni hafifu Ni mtoto wa jicho
Mkuu nimependa huu ushuhuda, hii dawa alikuelekeza nani kiongozi?SIO KWELI NILIVAA MIWANI KWA MIAKA 23 TOKA NIKIWA NA UMRI WA MIAKA 5 SIKUPONA UONI HAFIFU.!
LAKINI NILITUMIA TIBA MBADALA YA KUNYWA CHAI YA MAJANI YA GREEN LABEL ISIYO NA SIKARI KWA TAKRIBANI MWESI 1 HADI LEO HII SIVAI MIWANI NA NINA ONA VEMA .NI MIAKA 15 SASA TOKA NILIPO TUMIA CHAI HIYO YA RANGI NA YA KAWAIDA KABISAA