The Garang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 2,880
- 4,830
Habarini wanajukwaa la JF Doctor.
Nisiwachoshe na niende moja kwa moja kwenye mada, kutokana na matumizi ya vifaa vya kiumeme hasa runinga, kompyuta na smartphone kwa muda mrefu nimejikuta nikiyaweka macho yangu kwenye hatari kubwa ya kutoweza kuona vizuri.
Japo ni kidogo lakini kwa kipindi cha miaka kadhaa nimeona uwezo wangu wa kuona mbali na kuona kitu kwa uangavu (clear) ukipunguaa.
inaweza ikatokea mtu Yuko mita kadhaa mbele yangu nisimtambue isipokuwa labda nkagundua mwendo au mavazi alovaa kuwa ni ya mtu fulani.
Sijajua kama na vyakula navyo vinachangia kwa hili suala maaana sijatafuna karoti muda sana karibia miaka tofauti na hapo zaman ,na hii labda naweza sema ni kutokana na muda mwingi kuwa boarding na kama unavojuaa shule za boarding msosi mara nyingi sio mzuri.
Naomba ushauri ,kama kuna vyakula navyopaswa kula ilikuweza ku improve my sight.
Nawasilisha na karibu kwa mchango wako.