Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,135
- 48,827
Hili sio kweli Ina maana ukimpeleka Messi Arsenal atahitaji miaka miwili kuzoeana na wenzake? Mchezaji mzuri anasoma mfumo kwa mda kidogo sana
Atochukua miaka miwili kuzoea lakini hakutakua na maelewano mazuri kati yao. Kuna njia za kupitisha mipira Messi anavyocheza akiwa Barcelona ni tofauti anavyocheza akiwa Argentina. Kuna pasi anampigia Suarez au Neymar hauamini kama itafika lakini unashangaa Neymar kaipata na kufunga,pasi kama hiyo ampigie Higuain uone kama ataipata.