Ipi tafsiri sahihi ya Simba kukitaka kikosi cha Yanga...

Hili sio kweli Ina maana ukimpeleka Messi Arsenal atahitaji miaka miwili kuzoeana na wenzake? Mchezaji mzuri anasoma mfumo kwa mda kidogo sana

Atochukua miaka miwili kuzoea lakini hakutakua na maelewano mazuri kati yao. Kuna njia za kupitisha mipira Messi anavyocheza akiwa Barcelona ni tofauti anavyocheza akiwa Argentina. Kuna pasi anampigia Suarez au Neymar hauamini kama itafika lakini unashangaa Neymar kaipata na kufunga,pasi kama hiyo ampigie Higuain uone kama ataipata.
 
Azam walishasema Simba SC ijiandae kisaikologia, kwangu mimi naamini msimu ujao simba itaandamwa na migomo ya wachezaji. Muda utaongea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…