Mtanzatozo
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 971
- 1,165
Jichunge na mavyakula vyakula, kisisio, mtori, etc. Halafu acha kukamua maziwa kama ng'ombeHabari wana ndugu kwa ujumla, natumaini wote hamjambo na mnaendelea shughuli zenu za kila siku! Naomba kujua tiba, ushauri au maelezo yakinifu kuhusu mwanamke aliyetoka kujifungua na tumbo lake likabaki kama awali ya ujauzito au kupungua kidogo tuu!π€€
Nampongeza maana mimi huchukia matumbo / vitambi vya akinamama wakisingizia uzazi! Huwa nawauliza mbona Zari kazaa watoto 5 lakini hana mtumbo? Ni kula kula ovyo ovyo tu.Kwa kawaida mtu akitoka kujifungua tumbo huwa linabaki kubwa tu hadi baada ya miezi kadhaa ndio linaanza kupungua. Huwa linapu guard taratibu, lakin kwa wale waliowahi kujifungua huwa linafungwa. Kabla ya kula kitu chochote kwa angalau siku 14 za mwanzo, kipindi ambacho unakuwa unakula vyakula vya maji maji tu kama uji, supu na mtori. Ukishaanza kula vyakula vizito hata ukifunga halipungui tena
Wengine wanatumia dawa za mchina kupunguza tumbo, na engine mitishamba. Ila mimi nilifunga tu kwa week mbili na sasa hivi niko na flat tummy kama sijawahi zaa.
Vyakula maji ya moto na mkandaHabari wana ndugu kwa ujumla, natumaini wote hamjambo na mnaendelea shughuli zenu za kila siku! Naomba kujua tiba, ushauri au maelezo yakinifu kuhusu mwanamke aliyetoka kujifungua na tumbo lake likabaki kama awali ya ujauzito au kupungua kidogo tuu![emoji1786]
labda kweny mkanda lakini maji ya moto na vyakula anatumia vya kutosha..Vyakula maji ya moto na mkanda
kweli kabisa ndugu inawezkna.!Nampongeza maana mimi huchukia matumbo / vitambi vya akinamama wakisingizia uzazi! Huwa nawauliza mbona Zari kazaa watoto 5 lakini hana mtumbo? Ni kula kula ovyo ovyo tu.
shukrani ni wifi yko! ntamfikishia ujumbe πMazoezi
Pongezi kwako na akinamama wanaotunza matumbo yao yasiwe viliba. Hata wanaume tunatakiwa tusiwe na viliba bwana hasa after 50 yrskweli kabisa ndugu inawezkna.!
kwa sisi wanaume tumbo bila kitambi ni umaskini.. πPongezi kwako na akinamama wanaotunza matumbo yao yasiwe viliba. Hata wanaume tunatakiwa tusiwe na viliba bwana hasa after 50 yrs
Acha hizo!kwa sisi wanaume tumbo bila kitambi ni umaskini.. π