BLACK MARXIST
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 2,458
- 5,352
Vp kuhusu upesa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulichofanya umetafsiri lkn hujaeleza fasili hasa ya maneno hayo. Nijuavyo mm neno pesa ni neno lenye asili ya kihindi km sijakosea na hela(heller) lina asili ya kijerumani kwa ujumla wake maneno haya yana maana sawa na neno lingine la kiswahili tulilolizoea la fedha kuumanisha kitu chenye thamani ktk noti au sarafu kitumikacho kununulia bidhaa au kulipia huduma.Pesa - kwa kiingereza ni Money
Fedha - kwa kiingereza ni Finance
Feza - Kwa kiingereza ni Silver.
Maelezo ya kina yatakuaja bdae nikimaliza shuguli flani hapa kwa ofisi...