Ipi top 5 yako ya vyuo vikuu bora unavyovikubali Tanzania?

Ipi top 5 yako ya vyuo vikuu bora unavyovikubali Tanzania?

Vyuo Vikuu Bora Duniani.
1.Havard
2.Oxford
3.Yale
4.MIT
5.Cambridge
 
Unapo taka ktaja chuo bora o lazma uangalie unazungumzia nini,mfano kuna.vyuo bora katika kuanda walimu: 1 UDOM 2 UDSM 3 SAUTI 4 MUM 5 Nimesahau jina ila n kichuo kimoja hivi cha binafsi kipo dsm.Ukiangalia sekta zingine kama biashara,sheria ndo utakta kama hivi: UDSM, MZUMBE N.K
 
Ruco,Ruco,Ruco,Ruco,Muhas kwakua inatoa koz ya BEHSIT ambayo haipatikani chuo chochote. Tananzania. ikifuatiwa na muhas ambayo inatoa BSEHS.
 
Katika kuelekea application za vyuo mwaka huu unadhani ni ipi top 5 yako ya vyuo unavyovikubali Tz? Karibu

piga kelele zote watakaofaulu vizuri LAZIMA WANAWEZA ANZA NA HIVI 1.UDSM.AU 2.MZUMBE AU3.SUA..MUHAS.. ARDHI..DIT... SITAKUBALIANA NA MTU ETI MTU ANA DIV 1 ALAFU ACHAGUE CHUO NJE YA HIVYO.
 
piga kelele zote watakaofaulu vizuri LAZIMA WANAWEZA ANZA NA HIVI 1.UDSM.AU 2.MZUMBE AU3.SUA..MUHAS.. ARDHI..DIT... SITAKUBALIANA NA MTU ETI MTU ANA DIV 1 ALAFU ACHAGUE CHUO NJE YA HIVYO.

Mkuu nakuheshimu sana
 
Back
Top Bottom