1.Elimu mtaani(EM)
2.Kusoma sana unapishana na hela(KSUH).
3.Vyeti vyako kafungie maandazi lete hela na fikra taslimu tutatue matatizo(VVKMLHFTTM)
4.Usijivunie unasoma wapi jivunie unamiliki mali gani(UUWJUMG)
5.Usiishi kwa historia ya chuo wakat wewe uwezo wako hadi ukeshe(UHCWWUWHU).