Ipi ya kununua kati ya IST na Altezza?

Kila moja hapo ni nzuri inategemea matumizi yako tu

Nilishamiliki Altezza engine Yamaha na nilishamiliki IST vvti engine.

Ila sikujuta kuendesha Altezza though ukiingia petrol station ujipangeee
Mkuu hata Altezza unaisingizia mafuta? kwa mafuta gani inayokula ile gari?
 
Ukiona unalalamika ulaji wa mafuta .ujue mda wako wa kumuliki gari bado...kwani tofauti kati ya altezza na ist kwa lita moja ya mafuta ni km ngapi..!?
 
Sports car last long but seriously ist hata ukisema utembelee on rough road utasikia inavyoomba poo but altezza ina nguvu ya kuhimili mikiki ya road za nchi yetu ikiwa chini ya uangalizi mzuri.! ist labda kama ni route za mjini tuu
Huijui IST zaidi ya kuiona tu. Eti Alteeza ni bora zaidi ya IST kwenye rough road duh!
 
Huijui IST zaidi ya kuiona tu. Eti Alteeza ni bora zaidi ya IST kwenye rough road duh!
Sijaendesha alteeza ,lakin nimeendesha ist kwenye rough road mwaka pili huu, naishi buswelu (Mwanza) nafanya kazi town , sijawahi badilisha kitu chochote tofauti na service ya kawaida.
Ist ni gari nzuri sana sijuti kuinunua.
 
Namshangaa huyo jamaa. IST kwenye rough road ni habari nyingine.
 
Ukiona unalalamika ulaji wa mafuta .ujue mda wako wa kumuliki gari bado...kwani tofauti kati ya altezza na ist kwa lita moja ya mafuta ni km ngapi..!?
Kila mtu anamiliki gari kutokana na uchumi wake... ndio maana kuna magari ya aina tofauti.
 
Go for IST. in this economical world people choose economical tools.
Hii ndio sababu pekee ya IST kuizidi Altezza,
Usawa huu wa Magu hela ya Wese adimu chukua kitu cha CC 1,300
 
Nunua IST then ifanyie tuning ECU mapping, funga turbocharger na intercooler, Newbody kit, chrome wheels... Then Artezza itasubiri hapo... Na recommended IST engine yake ni nzuri sana(1NZ-FE).
Je kwa toyota sienta 4wl, inafaa kufungwa turbo na intercooler, hiyo ecu mapping ni kitu gani, hiyo kazi inafanyiwa wapi, je ulaji wa mafuta utaongezeka? Naimani utanijibu vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…