Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo Mkuu hii ni njia ya kubadilisha IST kuwa Alteza au [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nunua IST then ifanyie tuning ECU mapping, funga turbocharger na intercooler, Newbody kit, chrome wheels... Then Artezza itasubiri hapo... Na recommended IST engine yake ni nzuri sana(1NZ-FE).
Hivi unawezaje kulinganisha ist na altezza lkn?ist inaendana na vitz,raum,spacio,sienta,Bb,nissan cube and the like wakati altezza iweke na gx100 markII,gx110 markII,verossa,brevis,cresta,chaser and the likeToyota ist Vs Toyota altezza.
sasa ukiiweka huko altezza itashika mkia [emoji615]Hivi unawezaje kulinganisha ist na altezza lkn?ist inaendana na vitz,raum,spacio,sienta,Bb,nissan cube and the like wakati altezza iweke na gx100 markII,gx110 markII,verossa,brevis,cresta,chaser and the like
Mkuu hata Altezza unaisingizia mafuta? kwa mafuta gani inayokula ile gari?Kila moja hapo ni nzuri inategemea matumizi yako tu
Nilishamiliki Altezza engine Yamaha na nilishamiliki IST vvti engine.
Ila sikujuta kuendesha Altezza though ukiingia petrol station ujipangeee
Huijui IST zaidi ya kuiona tu. Eti Alteeza ni bora zaidi ya IST kwenye rough road duh!Sports car last long but seriously ist hata ukisema utembelee on rough road utasikia inavyoomba poo but altezza ina nguvu ya kuhimili mikiki ya road za nchi yetu ikiwa chini ya uangalizi mzuri.! ist labda kama ni route za mjini tuu
Sijaendesha alteeza ,lakin nimeendesha ist kwenye rough road mwaka pili huu, naishi buswelu (Mwanza) nafanya kazi town , sijawahi badilisha kitu chochote tofauti na service ya kawaida.Huijui IST zaidi ya kuiona tu. Eti Alteeza ni bora zaidi ya IST kwenye rough road duh!
Namshangaa huyo jamaa. IST kwenye rough road ni habari nyingine.Sijaendesha alteeza ,lakin nimeendesha ist kwenye rough road mwaka pili huu, naishi buswelu (Mwanza) nafanya kazi town , sijawahi badilisha kitu chochote tofauti na service ya kawaida.
Ist ni gari nzuri sana sijuti kuinunua.
Kila mtu anamiliki gari kutokana na uchumi wake... ndio maana kuna magari ya aina tofauti.Ukiona unalalamika ulaji wa mafuta .ujue mda wako wa kumuliki gari bado...kwani tofauti kati ya altezza na ist kwa lita moja ya mafuta ni km ngapi..!?
Kwa usawa huu wa JPM,magari hayana jinsia tena!IST no gari ya kike alteza gari ya Kiume sasa hapo tu inategemea na ww jinsia gani.
Si kweli,Kama hela ni ya manati go for ist ila kama hela yako ni ya kupakua tu just go for tezaaaa
Hii ndio sababu pekee ya IST kuizidi Altezza,Go for IST. in this economical world people choose economical tools.
Je kwa toyota sienta 4wl, inafaa kufungwa turbo na intercooler, hiyo ecu mapping ni kitu gani, hiyo kazi inafanyiwa wapi, je ulaji wa mafuta utaongezeka? Naimani utanijibu vizuri.Nunua IST then ifanyie tuning ECU mapping, funga turbocharger na intercooler, Newbody kit, chrome wheels... Then Artezza itasubiri hapo... Na recommended IST engine yake ni nzuri sana(1NZ-FE).
uongo..mafuta ya ten unaimbisha tezza mjini siku nzimaFACT