Ipi ya kununua kati ya IST na Altezza?

tezza wenzie ni kina subaru na nissan skyline....sio gx100..
 
Ukiona unalalamika ulaji wa mafuta .ujue mda wako wa kumuliki gari bado...kwani tofauti kati ya altezza na ist kwa lita moja ya mafuta ni km ngapi..!?
mtu anayelalamikaga sijui ulaji wa mafuta kwa kweli huwa nashindwa kuelewa. unapochagua ama kununua gari unajua kabisa. otherwise aendelee kutumia baiskeli kwa maana gari za kutumia maji hazipo bado.
 
Kwa hiyo Mkuu hii ni njia ya kubadilisha IST kuwa Alteza au [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapana mkuu... Ni njia ya kuifanya iwe na nguvu kuliko altezza.
 
Je kwa toyota sienta 4wl, inafaa kufungwa turbo na intercooler, hiyo ecu mapping ni kitu gani, hiyo kazi inafanyiwa wapi, je ulaji wa mafuta utaongezeka? Naimani utanijibu vizuri.
ECU(engine control unit) mapping ni kubadilisha performance data zilizo kuja na gari kwenye upande wa engine. Kisha unaweka data zako.
Turbocharger haifanyi gari kula mafuta inabaki economical na gari inapata extra power. Na performance yake inakua kubwa... WHP inaongezeka mara dufu.
Kwa gari yako unafunga turbo bila tatizo lolote lile. Sienta ina engine kama ya IST na Vits. Kuna zenye engine
1.5 L 2NR-FKE I4
1.5 L 1NZ-FEX I4
1.5 L 1NZ-FE
1.5 L 2NR-FE I4
1.8 L 2ZR-FAE I4
Garage Dar kuna Gear Tech Performance na Nairobi kuna Unity Garage.
I hope umeridhika na jibu hili.
 
Nunua IST then ifanyie tuning ECU mapping, funga turbocharger na intercooler, Newbody kit, chrome wheels... Then Artezza itasubiri hapo... Na recommended IST engine yake ni nzuri sana(1NZ-FE).
Unachekesha!
 
Hii kitu inafanyikia wapi, na inacost how much?
Nina fielder yangu new model 1.5 natamani miifanye hivyo
 
Toyota ist Vs Toyota altezza.

Nina legacy b4automanual , nina ist na altezza. Kwa power gari zote 3 hazifanani kabisaaaa! Kwa mafuta nako hakuna ufanano wowote. Legacy inaenda 6per liter ,alte 7 na ist22 per liter. Nakushauri uangalie zaidi mahitaji yako na kipato chako. Kwa uwazi zaidi kama kipato chako ni cha kawaida mno achana na sport car. Ist passo vitz hutajutia. Kama una uwezo wa elfu10 ya fuel per day, then chagua sport car ufaidi confortability na amazing performance. Ukiweza kuwa na gari na ka usafiri pembeni...utaenjoy!!
All the best!
 
Sasa mkuu artezza ukiimport almost 15M na IST(old model) 10M hizo upgrades hazizidi 3M ndio maana nikamshauri hivyo.
Mzee acha kumuingiza mwenzako maboya....hivi unafkiri turbo kit ni kitu ya mchezo mchezo unafunga tuu kama nyanya
ECU hajabadilisha bado
Hajamlipa mapper
Hajaanza wiring upya...bado shipping cost
Hizo mambo zote not less than 8m...prove wrong
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…