bomouwa
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 1,149
- 800
Nunua japo kitenge umpe mama akupe baraka na mzee shati walau.Toyota ist Vs Toyota altezza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nunua japo kitenge umpe mama akupe baraka na mzee shati walau.Toyota ist Vs Toyota altezza.
tezza inacheza 12Altezza gani iyo ya 15m? Hapo zote ziko kwenye bei moja tu
tezza inacheza 12Altezza gani iyo ya 15m? Hapo zote ziko kwenye bei moja tu
Na si jambo la kuulizaInakula Sana mafuta au?
mtu anayelalamikaga sijui ulaji wa mafuta kwa kweli huwa nashindwa kuelewa. unapochagua ama kununua gari unajua kabisa. otherwise aendelee kutumia baiskeli kwa maana gari za kutumia maji hazipo bado.Ukiona unalalamika ulaji wa mafuta .ujue mda wako wa kumuliki gari bado...kwani tofauti kati ya altezza na ist kwa lita moja ya mafuta ni km ngapi..!?
Hapana mkuu... Ni njia ya kuifanya iwe na nguvu kuliko altezza.Kwa hiyo Mkuu hii ni njia ya kubadilisha IST kuwa Alteza au [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ECU(engine control unit) mapping ni kubadilisha performance data zilizo kuja na gari kwenye upande wa engine. Kisha unaweka data zako.Je kwa toyota sienta 4wl, inafaa kufungwa turbo na intercooler, hiyo ecu mapping ni kitu gani, hiyo kazi inafanyiwa wapi, je ulaji wa mafuta utaongezeka? Naimani utanijibu vizuri.
Unachekesha!Nunua IST then ifanyie tuning ECU mapping, funga turbocharger na intercooler, Newbody kit, chrome wheels... Then Artezza itasubiri hapo... Na recommended IST engine yake ni nzuri sana(1NZ-FE).
Kwani Comment yangu inatekenya?Unachekesha!
Hii kitu inafanyikia wapi, na inacost how much?ECU(engine control unit) mapping ni kubadilisha performance data zilizo kuja na gari kwenye upande wa engine. Kisha unaweka data zako.
Turbocharger haifanyi gari kula mafuta inabaki economical na gari inapata extra power. Na performance yake inakua kubwa... WHP inaongezeka mara dufu.
Kwa gari yako unafunga turbo bila tatizo lolote lile. Sienta ina engine kama ya IST na Vits. Kuna zenye engine
1.5 L 2NR-FKE I4
1.5 L 1NZ-FEX I4
1.5 L 1NZ-FE
1.5 L 2NR-FE I4
1.8 L 2ZR-FAE I4
I hope umeridhika na jibu hili.
Toyota ist Vs Toyota altezza.
Sasa ww ulitake ile mchemsho?Inakula Sana mafuta au?
ile hata soda ....mafuta gharamaSasa ww ulitake ile mchemsho?
Umefilwai Eeee [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa ww ulitake ile mchemsho?
kiainaKwani Comment yangu inatekenya?
Mzee acha kumuingiza mwenzako maboya....hivi unafkiri turbo kit ni kitu ya mchezo mchezo unafunga tuu kama nyanyaSasa mkuu artezza ukiimport almost 15M na IST(old model) 10M hizo upgrades hazizidi 3M ndio maana nikamshauri hivyo.