Ipi ya kununua kati ya IST na Altezza?

Ipi ya kununua kati ya IST na Altezza?

Mkuu maximum itakugalimu kiana maana Inategemeana na gari but andaa 4M ... Ufundi na vifaa.

Hii kitu inafanyikia wapi, na inacost how much?
Nina fielder yangu new model 1.5 natamani miifanye hivyo
 
Upo entitled kwa maoni yako...
Na nina yaheshimu.... Niliyo mweleza mdau ni from personal experience.
Mzee acha kumuingiza mwenzako maboya....hivi unafkiri turbo kit ni kitu ya mchezo mchezo unafunga tuu kama nyanya
ECU hajabadilisha bado
Hajamlipa mapper
Hajaanza wiring upya...bado shipping cost
Hizo mambo zote not less than 8m...prove wrong
 
Kwanini utanataka ufunge gesi mkuu..kama ni ishu ya mafuta uza hio tezza nunua gari zisizo kula mafuta...
Ki ukweli hz ist, Ractis au Passo hazina mvuto napia ni common sana, kidogo zile Toyota Prius zina shepu nzuri lkn ni chache mno nadhani hata spear ni issue
 
Ki ukweli hz ist, Ractis au Passo hazina mvuto napia ni common sana, kidogo zile Toyota Prius zina shepu nzuri lkn ni chache mno nadhani hata spear ni issue
Mzee spare za gari muhimu ni kama tie rod end,bush,ball joint,shock up, ni vitu ambavyo vinapatikana sana mkuu wala visikutishe
 
Back
Top Bottom