Ipo amsha amsha ambayo Lissu kaifanya na kuifanya CCM kupata wakati mgumu?

Ipo amsha amsha ambayo Lissu kaifanya na kuifanya CCM kupata wakati mgumu?

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Ukiondoa kutumia muda mwingi kufafanua no reform no election Lissu ameitisha nini serekali ya ccm iliopo madarakani?

Ipi amsha amsha ambayo Lissu kaifanya na kuifanya ccm kupata wakati mgumu?

Ipi tofauti ya Mbowe na uongozi wa lissu ktk amsha amsha kwa ccm?
 
Hii hapa
images (1).jpeg
 
Back
Top Bottom