Ipo baraka katika kutoa

Ipo baraka katika kutoa

clearmind

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
813
Reaction score
1,913
Good morning Familia,
Katika jambo nimejifunza kubwa kabisa japo nimechelewa kufahamu ni kwamba kuna baraka kubwa sana katika kutoa hasa unapolenga kuwasaidia watu wenye mahitaji. Rafiki yangu mmoja amenionesha jinsi alivyotoa kwa watu kuanzia January Hadi Jana, ni zaidi ya Dola elfu 10. Amebarikiwa sana. Hakika hiyo ndio Siri yake ya ushindi katika maisha. Mwakani ni zamu yangu!

Asubuhi njema na siku njema.
 
Good morning Familia,,,Katika jambo nimejifunza kubwa kabisa japo nimechelewa kufahamu ni kwamba Kuna baraka kubwa sana katika kutoa hasa unapolenga kuwasaidia watu wenye mahitaji. Rafiki yangu mmoja amenionesha jinsi alivyotoa Kwa watu kuanzia January Hadi Jana, ni zaidi ya Dola elfu 10. Amebarikiwa sana. Hakika hiyo ndio Siri yake ya ushindi katika maisha. Mwakani ni zamu yangu!
Asubuhi njema na siku njema.
Je kuna baraka katika kuhonga? Ni njia moja wapo ya kutoa pia.
 
Good morning Familia,,,Katika jambo nimejifunza kubwa kabisa japo nimechelewa kufahamu ni kwamba Kuna baraka kubwa sana katika kutoa hasa unapolenga kuwasaidia watu wenye mahitaji. Rafiki yangu mmoja amenionesha jinsi alivyotoa Kwa watu kuanzia January Hadi Jana, ni zaidi ya Dola elfu 10. Amebarikiwa sana. Hakika hiyo ndio Siri yake ya ushindi katika maisha. Mwakani ni zamu yangu!
Asubuhi njema na siku njema.
Mkuu naomba na mimi unipe dollar 15000 mwakani nina uhitaji nayo sana kwani bado sijajenga mkuu. Utabarikiwa sana nataka nijenge kibanda ili malaika wa Mungu wapate kuishi.
 
Good morning Familia,,,Katika jambo nimejifunza kubwa kabisa japo nimechelewa kufahamu ni kwamba Kuna baraka kubwa sana katika kutoa hasa unapolenga kuwasaidia watu wenye mahitaji. Rafiki yangu mmoja amenionesha jinsi alivyotoa Kwa watu kuanzia January Hadi Jana, ni zaidi ya Dola elfu 10. Amebarikiwa sana. Hakika hiyo ndio Siri yake ya ushindi katika maisha. Mwakani ni zamu yangu!
Asubuhi njema na siku njema.
Mkuu naomba na mimi unipe dollar 15000 mwakani nina uhitaji nayo sana kwani bado sijajenga mkuu. Utabarikiwa sana nataka nijenge kibanda ili malaika wa Mungu wapate kuishi kadri watavyofurahi utazidi barikiwa.
 
Good morning Familia,,,Katika jambo nimejifunza kubwa kabisa japo nimechelewa kufahamu ni kwamba Kuna baraka kubwa sana katika kutoa hasa unapolenga kuwasaidia watu wenye mahitaji. Rafiki yangu mmoja amenionesha jinsi alivyotoa Kwa watu kuanzia January Hadi Jana, ni zaidi ya Dola elfu 10. Amebarikiwa sana. Hakika hiyo ndio Siri yake ya ushindi katika maisha. Mwakani ni zamu yangu!
Asubuhi njema na siku njema.
Kwa hiyo sisi tusiyo na kitu cha kutoa, hizi baraka za kutoa tutazipataje?
 
Back
Top Bottom