Good morning Familia,
Katika jambo nimejifunza kubwa kabisa japo nimechelewa kufahamu ni kwamba kuna baraka kubwa sana katika kutoa hasa unapolenga kuwasaidia watu wenye mahitaji. Rafiki yangu mmoja amenionesha jinsi alivyotoa kwa watu kuanzia January Hadi Jana, ni zaidi ya Dola elfu 10. Amebarikiwa sana. Hakika hiyo ndio Siri yake ya ushindi katika maisha. Mwakani ni zamu yangu!
Asubuhi njema na siku njema.