Je kuna baraka katika kuhonga? Ni njia moja wapo ya kutoa pia.Good morning Familia,,,Katika jambo nimejifunza kubwa kabisa japo nimechelewa kufahamu ni kwamba Kuna baraka kubwa sana katika kutoa hasa unapolenga kuwasaidia watu wenye mahitaji. Rafiki yangu mmoja amenionesha jinsi alivyotoa Kwa watu kuanzia January Hadi Jana, ni zaidi ya Dola elfu 10. Amebarikiwa sana. Hakika hiyo ndio Siri yake ya ushindi katika maisha. Mwakani ni zamu yangu!
Asubuhi njema na siku njema.
Mkuu naomba na mimi unipe dollar 15000 mwakani nina uhitaji nayo sana kwani bado sijajenga mkuu. Utabarikiwa sana nataka nijenge kibanda ili malaika wa Mungu wapate kuishi.Good morning Familia,,,Katika jambo nimejifunza kubwa kabisa japo nimechelewa kufahamu ni kwamba Kuna baraka kubwa sana katika kutoa hasa unapolenga kuwasaidia watu wenye mahitaji. Rafiki yangu mmoja amenionesha jinsi alivyotoa Kwa watu kuanzia January Hadi Jana, ni zaidi ya Dola elfu 10. Amebarikiwa sana. Hakika hiyo ndio Siri yake ya ushindi katika maisha. Mwakani ni zamu yangu!
Asubuhi njema na siku njema.
We! Kuhonga si mahitaji maalum. Kuhonga ni kuhonga TU hakuna lugha mbadalaJe kuna baraka katika kuhonga?ni njia moja wapo ya kutoa pia
Mkuu naomba na mimi unipe dollar 15000 mwakani nina uhitaji nayo sana kwani bado sijajenga mkuu. Utabarikiwa sana nataka nijenge kibanda ili malaika wa Mungu wapate kuishi kadri watavyofurahi utazidi barikiwa.Good morning Familia,,,Katika jambo nimejifunza kubwa kabisa japo nimechelewa kufahamu ni kwamba Kuna baraka kubwa sana katika kutoa hasa unapolenga kuwasaidia watu wenye mahitaji. Rafiki yangu mmoja amenionesha jinsi alivyotoa Kwa watu kuanzia January Hadi Jana, ni zaidi ya Dola elfu 10. Amebarikiwa sana. Hakika hiyo ndio Siri yake ya ushindi katika maisha. Mwakani ni zamu yangu!
Asubuhi njema na siku njema.
Nitakuchangia Dola 50. Nishtue JanuaryMkuu naomba na mimi unipe dollar 15000 mwakani nina uhitaji nayo sana kwani bado sijajenga mkuu. Utabarikiwa sana nataka nijenge kibanda ili malaika wa Mungu wapate kuishi.
Poa mkuu utabarikiwa sanaNitakuchangia Dola 50. Nishtue January
January*Poa mkuu utabarikiwa sana
nitakukukumbusha mkuuJanuary*
Kwa hiyo sisi tusiyo na kitu cha kutoa, hizi baraka za kutoa tutazipataje?Good morning Familia,,,Katika jambo nimejifunza kubwa kabisa japo nimechelewa kufahamu ni kwamba Kuna baraka kubwa sana katika kutoa hasa unapolenga kuwasaidia watu wenye mahitaji. Rafiki yangu mmoja amenionesha jinsi alivyotoa Kwa watu kuanzia January Hadi Jana, ni zaidi ya Dola elfu 10. Amebarikiwa sana. Hakika hiyo ndio Siri yake ya ushindi katika maisha. Mwakani ni zamu yangu!
Asubuhi njema na siku njema.
mimi too napenda kutoa..msosi,nguo,hela nk..inabaraka mnoHebu wote tuwe watoajiğŸ˜
imeisha hiyoKwa hiyo sisi tusiyo na kitu cha kutoa, hizi baraka za kutoa tutazipataje?
Kuhonga, hiyo ni rushwa.Je kuna baraka katika kuhonga? Ni njia moja wapo ya kutoa pia.
kaka umeuza gari??Poa mkuu utabarikiwa sana