Nakubaliana na wewe kwa upande mmoja ni vizuri kuwa na mkakati wa makusudi wa kutengeneza matajiri, lakini kwa upande mwingine ubinafsi na uroho kama tujuavyo hii rangi yetu na vitu vinavyoitwa INTEGRITY AND HONEST ni SIFURI sasa hapa pata kaaje Mkuu?