jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Kwa miaka kadhaa nimekuwa nikisafiri njia ya Arusha-Dar na huku nimeshuhudia mabasi maarufu kutoka Mkoa wa Tanga kwenda maeneo mbalimbali nchini hususani Dar.
Basi maarufu la "SIMBA MTOTO" limeweza kusurvive regimens kadhaa za uongozi wa kisiasa ikimaanisha hawa ni moja ya legends katika usafirishaji abiria nchini.
Kwa mafanikio waliofikia SIMBA MTOTO walitakiwa wawe na Ndege au hata Gari moshi katika industry ya usafirishaji.
Inawezekana wameshindwa kutokana na mtaji au kuwezeshwa kifursa (kwa makusudi kabisa).
Serikali ifanye uchambuzi wa kutambua wafanyabiashara wazalendo na iwawezeshe ili kutanua mitaji yao na hatimaye ajira
.