Ipo haja ya kuwarithisha Vijana wetu na watoto wetu usomaji wa vitabu

Ipo haja ya kuwarithisha Vijana wetu na watoto wetu usomaji wa vitabu

Usinifokee

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2015
Posts
2,502
Reaction score
3,525
Habari za Muda huu....

Nimeona kuna haja ya kuwarithisha Vijana wetu na watoto wetu maandishi ili wapate maadili na ufahamu zaidi juu ya chochote kinachohusu mustakabali wa wanayo yahitaji hapo mbeleni...

Nimeona niyaseme

Rejea Riwaya ya

SHABAN ROBERT -KUSADIKIKA
 
Hiyo enzi imeshapita na haitarudi tena! Ni ukweli mchungu lakini hatuna budi kuukubali
 
Hiyo enzi imeshapita na haitarudi tena! Ni ukweli mchungu lakini hatuna budi kuukubali
Aliyetunga Riwaya hii, alikua mbele ya muda hasa kwa nchi iliyopo maziwa makuu Botisuana
 
Nmesoma vitabu mpaka nmekuwa mkimyq

Yaani najua mambo mengi kiasi kwamba hata hapa JF nikianzisha uzi watu hawana uwezo wa kudigest mambo ninayoyaandika

Nadhani saizi yangu ni Quora
 
Enzi zetu,siku hizi kuna TV,play station,Katuni, tablet za watoto...... daah sijui kama library watazijua
 
Hatutaki vitabu ...
Tunataka mtulithishe majumba....

Et mtu ndani ana magazet toka ya mwaka 67 huko..
What next... Mi naenda kuchoma moto hvi vtu wakuu staki utani
 
Back
Top Bottom