Usinifokee JF-Expert Member Joined Aug 10, 2015 Posts 2,502 Reaction score 3,525 Jul 31, 2025 #1 Habari za Muda huu.... Nimeona kuna haja ya kuwarithisha Vijana wetu na watoto wetu maandishi ili wapate maadili na ufahamu zaidi juu ya chochote kinachohusu mustakabali wa wanayo yahitaji hapo mbeleni... Nimeona niyaseme Rejea Riwaya ya SHABAN ROBERT -KUSADIKIKA
Habari za Muda huu.... Nimeona kuna haja ya kuwarithisha Vijana wetu na watoto wetu maandishi ili wapate maadili na ufahamu zaidi juu ya chochote kinachohusu mustakabali wa wanayo yahitaji hapo mbeleni... Nimeona niyaseme Rejea Riwaya ya SHABAN ROBERT -KUSADIKIKA
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,316 Reaction score 871,876 Jul 31, 2025 #2 Hiyo enzi imeshapita na haitarudi tena! Ni ukweli mchungu lakini hatuna budi kuukubali
C cushite Member Joined Jan 7, 2025 Posts 89 Reaction score 90 Jul 31, 2025 #3 wafundishe mashairi ya bongo fleva
Usinifokee JF-Expert Member Joined Aug 10, 2015 Posts 2,502 Reaction score 3,525 Jul 31, 2025 Thread starter #4 Mshana Jr said: Hiyo enzi imeshapita na haitarudi tena! Ni ukweli mchungu lakini hatuna budi kuukubali Click to expand... Aliyetunga Riwaya hii, alikua mbele ya muda hasa kwa nchi iliyopo maziwa makuu Botisuana
Mshana Jr said: Hiyo enzi imeshapita na haitarudi tena! Ni ukweli mchungu lakini hatuna budi kuukubali Click to expand... Aliyetunga Riwaya hii, alikua mbele ya muda hasa kwa nchi iliyopo maziwa makuu Botisuana
OMOYOGWANE JF-Expert Member Joined Dec 30, 2016 Posts 5,315 Reaction score 13,269 Jul 31, 2025 #5 Nmesoma vitabu mpaka nmekuwa mkimyq Yaani najua mambo mengi kiasi kwamba hata hapa JF nikianzisha uzi watu hawana uwezo wa kudigest mambo ninayoyaandika Nadhani saizi yangu ni Quora
Nmesoma vitabu mpaka nmekuwa mkimyq Yaani najua mambo mengi kiasi kwamba hata hapa JF nikianzisha uzi watu hawana uwezo wa kudigest mambo ninayoyaandika Nadhani saizi yangu ni Quora
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 25,299 Reaction score 40,929 Jul 31, 2025 #6 Enzi zetu,siku hizi kuna TV,play station,Katuni, tablet za watoto...... daah sijui kama library watazijua
Enzi zetu,siku hizi kuna TV,play station,Katuni, tablet za watoto...... daah sijui kama library watazijua
Poor Brain JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 28,865 Reaction score 58,677 Jul 31, 2025 #7 Hatutaki vitabu ... Tunataka mtulithishe majumba.... Et mtu ndani ana magazet toka ya mwaka 67 huko.. What next... Mi naenda kuchoma moto hvi vtu wakuu staki utani
Hatutaki vitabu ... Tunataka mtulithishe majumba.... Et mtu ndani ana magazet toka ya mwaka 67 huko.. What next... Mi naenda kuchoma moto hvi vtu wakuu staki utani