Watavunja na kuvunjua mpka 2025 ,maana walichokifanya mwaka Jana kinawatafuna
Kuna taarifa kuwa eti Wanawake wa kizaramo wanajua "kusuta" na "kusimanga" ila kwa hili naomba nikiri kuwa, Wazaramo watasubiri sana!
Kuna Wanawake wanajua kusimanga aiseee, wanajua kusuta, unaweza kujikuta unaandikabarua ya kuacha kaz..teh🤣
Sasa unategenea PM ajiuzulu?PM akishajiuzulu tu mambo yanabadilika kabisa.
Tunataka katiba mpya na tume huru ya uchaguzi mengine ya kwakoKutokana na yanayoendelea hapa nchini.
Ipo haja ya Rais kuvunja Serikali nzima na kuunda mpya kabisa.
Kutokuaminiana na hujuma kumetamalaki.
Nazungumzia Kutoka kwa PM kushuka chini.
Avunje baraza lote la mawaziri.
Ateue wapya kabisa.
Amuandikie barua Spika kumuomba ajiuzulu kwa maslahi ya uma.
Atulie kwa muda wa miezi mitatu akiunda team yake.
Hapo sasa tutakuwa tumeondoa element ya kutoaminiana na kuhujumiana.
Pia wananchi nao watatulia maana serikali isipokua na utulivu wananchi nao hupata hofu ya kufanya shughuli zao.
Kwa maslahi mapana ya Taifa, napendekeza hayo yafanyike baada ya kipindi cha miezi mitatu.
Bado PM na Baraza la Mawaziri.
Again ;
Baraza liundwe kwa utulivu bila papara tusije sikia tena huko mbeleni mambo ya kuhujumiana kwa stress za 2025.
Hao wote amewakuta,Sasa unategenea PM ajiuzulu?
Of course anatakiwa kuivunja na kuanza upya,pm nae kwa busara angepishaKutokana na yanayoendelea hapa nchini.