Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Kutokana na yanayoendelea hapa nchini.
Ipo haja ya Rais kuvunja Serikali nzima na kuunda mpya kabisa.
Kutokuaminiana na hujuma kumetamalaki.
Nazungumzia Kutoka kwa PM kushuka chini.
Avunje baraza lote la mawaziri.
Ateue wapya kabisa.
Amuandikie barua Spika kumuomba ajiuzulu kwa maslahi ya uma.
Atulie kwa muda wa miezi mitatu akiunda team yake.
Hapo sasa tutakuwa tumeondoa element ya kutoaminiana na kuhujumiana.
Pia wananchi nao watatulia maana serikali isipokua na utulivu wananchi nao hupata hofu ya kufanya shughuli zao.
Kwa maslahi mapana ya Taifa, napendekeza hayo yafanyike baada ya kipindi cha miezi mitatu.