Nakubaliana na wewe asilimia mia.
Tunashindwa kusonga mbele kwa sababu ya kujadili maisha ya watu wengine, tunashindwa kujitathimini sisi kama sisi badala yake tunajishughulisha zaidi na maisha ya wengine yaani "wao'
Ishi maisha yako , siku zote siri ya mafanikio ya mtu ajuaye yeye mwenyewe, usihangaike kusikiliza mwingine anasema nini kwani ukweli wa kile akisemacho akijua yeye mwenyewe, nimeshuhudia watu wengi sana wakieleza maisha ambayo si yao kwa wengine na kwakuwa binadamu tunatabia ya kuchukua MANENO kama yalivyo tunajikuta tunaingizwa mkenge!
Naunga mkono hii hoja kwamba tunapaswa kuishi kama sisi na si kama wao!
Sent from my Infinix X650 using
JamiiForums mobile app