Ipo siku Askofu Gwajima atatumiwa na CCM kuinusuru kubaki madarakani kwa kumteua mgombea wao wa Urais

Inawezekana kabisa Ila Kama sio kuwa Rais anaweza kuwa PM.

Kwa kalibre ya Samia akishinda 2025 huenda akamyeua huyo Gwajiboy kuwa PM then anamuachia hizo harakati za kupambana huko.na huko yeye Kama Kawaida yake kwenye matukio soft tuu au Yale yanayomhusu Rais maana pia Rais Samia sio mtu wa kupenda Lawama husakizia wengine.
 
Nasikia mwakinyo kakataliwa pambano Zanzibar huko wanasema acheze Tanganyika kwao ni kweli mkuu?
Kwani alipocheza UK kulikuwa kwao?

Itakuwa hawakukubaliana mgao tu hao! Mwakinyo kupigana Zanzibar ni kwa faida kwao Zanzibar kwa vile FORODJANI itajaa watu kula urojo na ubuyu.
 
Huyu ni mkabila hafai.Kwa taarifa tu huyu ndiye mfadhili mkuu wa Sukuma Gang
 
Mliona mbali Sana!

Ukiangalia top ten ya NEC,mtu anaeweza jaza mkutano bila misaada wa malori ya chama na serikali ni yeye tu,hakuna mwingine KABISA!

We angalia pale namba MOJA Hadi kumi !nani akiitisha mkutano atapata watu WENGI kama sio mkono wa baunsa!?

Nani ZAIDI !!?hata Mimi nitaenda KUONA kata funua ya misukule mbali na Sera zake!!

Huyu jamaa ana ushawishi Sana NCHINI,juzi alikuwa anafanya mkutano KILA jimbo akiwa na wabunge KILA pembe ya NCHI nani anaweza ZAIDI yake!!?

NDIO MAANA wale wazee walipoona tu kk imejaa kanda ya nyanza HUKU Watoto WAO wametupwa kule bila sapoti wakaanza kuhara na na kutapika nyongo kwenye vyombo vya habari,!!

Hii ni calculated movement sio ya kitoto!

NIRETEEENI GWAAAJIMAH!!!

TUISUBIRI KWA UPOLE!!
 
Kura za jimbo la Kawe tu aliiba, za nchi nzima itakuwaje? au unadhani watanzania ni wale waumini wake pekee anaowalisha siasa madhabahuni halafu wanamshangilia.
Kama aliweza kuina za Kawe atashindwa vipi kuiba za nchi nzima kwa mgongo wa SISIEM!?
 
LABDA ATEULIWE KUFUFUA WAFU WAO
 
Juzi alikua Kyela mkutano umeshona kama kawaida! Hivi mamlaka ya hii mikutano yake anaitoa wapi? Maana si kawaida kabisa! Nani 'kamruhusu'?
 
Juzi alikua Kyela mkutano umeshona kama kawaida! Hivi mamlaka ya hii mikutano yake anaitoa wapi? Maana si kawaida kabisa! Nani 'kamruhusu'?
Dola ina hesabu za mbali Sana,Mamlaka hayo ni ya dola anamfunika hadi wote wenye Mamlaka!

Karuhusiwa na dola huyo na mama anajua fika,hawawezi kumzuia,pia Mungu air anaemhubiri kamtia NGUVU ya kuteka anga la Tanzania Hadi majini na mapepo plus uchawi hayana pa kukimbilia!!

Tena alikuwa kwenye jimbo la Mzee!
 
Mtu mmoja tena mbunge wa CCM aliweza kupinga a na Serikali nzima na akabaki salama ni Gwajima pekee,

Ashindaye nitampa kula matunda ya mti wa uzima yaliyo katika bustani ya Mungu.

Aamen.
 
Naked truth
 
Pascal Mayalla amekuja na ID mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…