Ipo siku Askofu Gwajima atatumiwa na CCM kuinusuru kubaki madarakani kwa kumteua mgombea wao wa Urais

Ipo siku Askofu Gwajima atatumiwa na CCM kuinusuru kubaki madarakani kwa kumteua mgombea wao wa Urais

Inawezekana kabisa Ila Kama sio kuwa Rais anaweza kuwa PM.

Kwa kalibre ya Samia akishinda 2025 huenda akamyeua huyo Gwajiboy kuwa PM then anamuachia hizo harakati za kupambana huko.na huko yeye Kama Kawaida yake kwenye matukio soft tuu au Yale yanayomhusu Rais maana pia Rais Samia sio mtu wa kupenda Lawama husakizia wengine.
 
Nasikia mwakinyo kakataliwa pambano Zanzibar huko wanasema acheze Tanganyika kwao ni kweli mkuu?
Kwani alipocheza UK kulikuwa kwao?

Itakuwa hawakukubaliana mgao tu hao! Mwakinyo kupigana Zanzibar ni kwa faida kwao Zanzibar kwa vile FORODJANI itajaa watu kula urojo na ubuyu.
 
Huyu ni mkabila hafai.Kwa taarifa tu huyu ndiye mfadhili mkuu wa Sukuma Gang
FB_IMG_1618549208269.jpg
 
Mliona mbali Sana!

Ukiangalia top ten ya NEC,mtu anaeweza jaza mkutano bila misaada wa malori ya chama na serikali ni yeye tu,hakuna mwingine KABISA!

We angalia pale namba MOJA Hadi kumi !nani akiitisha mkutano atapata watu WENGI kama sio mkono wa baunsa!?

Nani ZAIDI !!?hata Mimi nitaenda KUONA kata funua ya misukule mbali na Sera zake!!

Huyu jamaa ana ushawishi Sana NCHINI,juzi alikuwa anafanya mkutano KILA jimbo akiwa na wabunge KILA pembe ya NCHI nani anaweza ZAIDI yake!!?

NDIO MAANA wale wazee walipoona tu kk imejaa kanda ya nyanza HUKU Watoto WAO wametupwa kule bila sapoti wakaanza kuhara na na kutapika nyongo kwenye vyombo vya habari,!!

Hii ni calculated movement sio ya kitoto!

NIRETEEENI GWAAAJIMAH!!!

TUISUBIRI KWA UPOLE!!
 
Kura za jimbo la Kawe tu aliiba, za nchi nzima itakuwaje? au unadhani watanzania ni wale waumini wake pekee anaowalisha siasa madhabahuni halafu wanamshangilia.
Kama aliweza kuina za Kawe atashindwa vipi kuiba za nchi nzima kwa mgongo wa SISIEM!?
 
Kwanza naomba andiko hili liaiunganishwe.

Wapendwa kwa tajiriba na pia kwa namna CCM hucheza na upepo wa hali ya nyakati natabiri siku yaja chama hicho kikongwe kwa sababu ile ile ya kujinusuru nakutamani kubakia madarakani kitalazimika kumteua Gwajima awe mgombea wao u Rais.

Kwa namna ya sifa na uwezo wake wa kucheza na midundo ya kisiasa bwana Gwajima ni kete na turufu muhimu ijayo kwa CCM hilo CCM wapende ama wasipende kama ilivyokuwa kwa Magufuli.

Askofu Gwajima ni turufu hitajiki mno kwa siku za usoni.

Askofu Gwajima ni jembe na ardhi yenye rutuba kwa CCM.

Gwajima si wa kupuuzwa tena!

Nao muda utaongea...
LABDA ATEULIWE KUFUFUA WAFU WAO
 
Mliona mbali Sana!

Ukiangalia top ten ya NEC,mtu anaeweza jaza mkutano bila misaada wa malori ya chama na serikali ni yeye tu,hakuna mwingine KABISA!

We angalia pale namba MOJA Hadi kumi !nani akiitisha mkutano atapata watu WENGI kama sio mkono wa baunsa!?

Nani ZAIDI !!?hata Mimi nitaenda KUONA kata funua ya misukule mbali na Sera zake!!

Huyu jamaa ana ushawishi Sana NCHINI,juzi alikuwa anafanya mkutano KILA jimbo akiwa na wabunge KILA pembe ya NCHI nani anaweza ZAIDI yake!!?

NDIO MAANA wale wazee walipoona tu kk imejaa kanda ya nyanza HUKU Watoto WAO wametupwa kule bila sapoti wakaanza kuhara na na kutapika nyongo kwenye vyombo vya habari,!!

Hii ni calculated movement sio ya kitoto!

NIRETEEENI GWAAAJIMAH!!!

TUISUBIRI KWA UPOLE!!
Juzi alikua Kyela mkutano umeshona kama kawaida! Hivi mamlaka ya hii mikutano yake anaitoa wapi? Maana si kawaida kabisa! Nani 'kamruhusu'?
 
Juzi alikua Kyela mkutano umeshona kama kawaida! Hivi mamlaka ya hii mikutano yake anaitoa wapi? Maana si kawaida kabisa! Nani 'kamruhusu'?
Dola ina hesabu za mbali Sana,Mamlaka hayo ni ya dola anamfunika hadi wote wenye Mamlaka!

Karuhusiwa na dola huyo na mama anajua fika,hawawezi kumzuia,pia Mungu air anaemhubiri kamtia NGUVU ya kuteka anga la Tanzania Hadi majini na mapepo plus uchawi hayana pa kukimbilia!!

Tena alikuwa kwenye jimbo la Mzee!
 
Mtu mmoja tena mbunge wa CCM aliweza kupinga a na Serikali nzima na akabaki salama ni Gwajima pekee,

Ashindaye nitampa kula matunda ya mti wa uzima yaliyo katika bustani ya Mungu.

Aamen.
 
Ndiyo agenda yao kuu hao jamaa baada ya kuuana sana wakitafuta mafaraka kule Rwanda na Burundi walikimbilia Tanzania.
Na agenda yao ilikua ni kuigawa Tz vipande vipande ili ukanda Fulani uwe nchi imara sana yenye jeshi kubwa na nguvu kubwa sana. Wale jamaa uchu wa madaraka na roho mbaya ipo damuni ,hawapendi kukaa pembeni na kuongozwa, watatumia kila hila ili wao wakalie uongozi.

Kuinusuru Tanzania ni kuwaweka mbali kabisa na madaraka makubwa hao watu wenye uroho wa Mali na madaraka.

Gwaji sina hakika kuwa ni wa kundi hilo la walafi wa madaraka.
Kila sehemu wanataka wao wakalie madaraka iwe kwenye dini au siasa au jambo lolote na wakikaa hawataki wengine wakalie.

Ni asili yao tangu enzi za machifu. Hata mkoloni aliwasoma sana ndio maana walipogawana nchi vile vinchi vilitengwa na kugawanywa kwa udogo wao kama vimikoa, ili wabaki peke yao wasisumbue watu wa makabila mengine. Lakini vita zao zikawatawanya wakaibukia Tanganyika na sasa wanasumbua makabila zaidi ya ,126 kwa kutaka madaraka yote wapate wenyewe.

Mama SSH akiwapuuza hawa watu watatuletea balaa kubwa sana na ukabila.
Kama kuna mtu anamdanganya kuwa Gwajima ni mzalendo aje atuambie kwa nini mpaka sasa hajajenga Kanisa hata kaama lile la Kakobe?

Anaiponda serikali lakini ndiyo iliyompa maeneo ya kufanyia ibada. Mali alizo nazo zinathamani kuliko Nyumba anayotumia kumwabudia Mungu.
Hata Msikiti wa Macca umejengwa kwa thamani kubwa sana kuliko misikiti yote na makazi ya watawala wao wote lakini Gwaji anatembelea magari na mahelkopta wakati hana hata viti vya kisasa kwenye nyumba ya ibada.

Simchukii wala sichukii dini yake ila sipendi kuona mtu anatumia dini kuhubiri siasa za visasi na mipasho wakati nchi ina watawala na watendaji waovu wanaohitaji toba.
Hiyo Dodoma haina tofauti na Sodoma kwa maovu yanayofanyika kwa kodi za wananchi na tozo za miamala na yeye anajua badala ya kuhubiri habari ya toba na msamaha wa dhambi anatumia muda mwingi kujibizana na wanasiasa waliojawa na uovu na ubinafsi nafsini mwao.

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
Naked truth
 
Kwanza naomba andiko hili liaiunganishwe.

Wapendwa kwa tajiriba na pia kwa namna CCM hucheza na upepo wa hali ya nyakati natabiri siku yaja chama hicho kikongwe kwa sababu ile ile ya kujinusuru nakutamani kubakia madarakani kitalazimika kumteua Gwajima awe mgombea wao u Rais.

Kwa namna ya sifa na uwezo wake wa kucheza na midundo ya kisiasa bwana Gwajima ni kete na turufu muhimu ijayo kwa CCM hilo CCM wapende ama wasipende kama ilivyokuwa kwa Magufuli.

Askofu Gwajima ni turufu hitajiki mno kwa siku za usoni.

Askofu Gwajima ni jembe na ardhi yenye rutuba kwa CCM.

Gwajima si wa kupuuzwa tena!

Nao muda utaongea...
Pascal Mayalla amekuja na ID mpya.
 
Back
Top Bottom