Ipo siku Chalamila litamtoka neno zito, Hata mwenyewe hataamini!

Lakini jamaa bado anaupepo wa majiji Dar, mwanza, mbeya sio mchezo mchezo
 
Attachments

  • Screenshot_20241228_222631.jpg
    Screenshot_20241228_222631.jpg
    292.9 KB · Views: 7
Magufuli alivyokufa alisema siku nyingine wawe makini kuchagua mgombea mwenza ili akiwa VP asijekumloga Rais afie madarakani ili arithi kiti cha urais. Nikajiuliza Samia atakuwa anajisikiaje?
 
Huwezi kujua ilikuwaje!
 
Back
Top Bottom