M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
KweliHuyu Mheshimiwa apunguze maneno ya ovyo. Ipo siku litamtoka neno. Hata mwenyewe hataamini!
Puani Na MasikioniKusikia kwa kenge mpk atoke damu
Anapayuka sana! Amakinike.. Kuna siku litamtoka la kumtoka... Na akose pa kukimbilia! Matamshi ni kama risasi ikitoka imetoka haina rivasiHuyu Mheshimiwa apunguze maneno ya ovyo. Ipo siku litamtoka neno. Hata mwenyewe hataamini!
Huwezi kujua ilikuwaje!Magufuli alivyokufa alisema siku nyingine wawe makini kuchagua mgombea mwenza ili akiwa VP asijekumloga Rais afie madarakani ili arithi kiti cha urais. Nikajiuliza Samia atakuwa anajisikiaje?