Sasa kwanini umetoa maoni yako?Mimi huwa nasikiliza radio one naangalia itv hzo nyingine nime waachia vijana
BureEfm iko vizuri wanafanya vizuri sokoni na kuna baadhi ya vipindi vyao ndo vinaongoza kwa kuwa na wasikilizaji wengi kama "Sports HQ".... Na dhumuni LA Efm siyo kuiangusha clouds no kuleta changamoto kwenye media!... Kama hivi wamegawana wasikilizaji maisha yanaenda!NB:Clouds wamefanya kazi kufika hapo walipo wasafi wanafikiri porojo za kwenye mitandao zitawapush,wajipange kweli!
Very true. Binafsi nasubiri contents za radio siku za usoni ndio nitajua wamejipangaje. Ila nahisi watatake over sana.Ninavyojua hata EFM walipokuja hali ilikuwa hivi hivi baada ya muda mambo yakarudi kwenye equilibrium, Wasafi pia italeta changamoto hapa mwanzoni baadae itarudi kwenye position yake kama tu media yao haitakuwa na contents za kuvutia zaidi.
Clouds ina mizizi mikubwa.Wasafi media inabebwa kwasababu ya jina na umaarufu wa Diamond lakini hatijajua contents na consistency yao hapo baadae.
Wana vipindi gani kwa mfano? Huwezi kusikiliza mziki siku nzima!Usiifananishe efm na Wasafi,Wasafi wameingia kwenye media industry hawana hata mwaka lakin wanaenda kuipoteza efm,sasa hivi ni Wasafi vs Clouds...believe me clouds wanaenda kupotea ndani ya mwaka mmoja,na sasa hivi tegemeo lao lipo kwa Soudy tu katika kupambana na WCB wengine kama wameanza kunyoosha mikono juu
Elezeni wasafi wana vipindi gani?Wasafi wana Balls! CMG design wameanza sanda mbaya zaidi ngoja tuone 24th itafanzaje
Hahaha hii post imenichekesha sana... Vijana sio watafiti wanaendeshwa na matukio....Yani Joseph Kusaga ajipigie mwenyewe magoti na kujiambia yaishe??
TanZania kote hakuna redio ina coverage kama cloudsfm.nenda swanga mpanda musoma songea masasi bukoba kigoma na mikoa yote wapo.so kwa base ya wasikilizaji hakuna station itakuja kuikuta clouds.
Labda mtapiga kelele hapa mjini tu.
Sijui ww mke wa.pili wa kusaga ukajua sili za ndani kabisa
Mkuu umeniwahi,maana sijaona mtoto wa kike akijiita mtoto mtam,hapa hata mm ninamashaka na jinsia ya mleta madaMe/Ke?
Mkuu umeniwahi,maana sijaona mtoto wa kike akijiita mtoto mtam,hapa hata mm ninamashaka na jinsia ya mleta mada
wewe umeandika nini mkuu😂😂 huna hoja kabisaUsiifananishe efm na Wasafi,Wasafi wameingia kwenye media industry hawana hata mwaka lakin wanaenda kuipoteza efm,sasa hivi ni Wasafi vs Clouds...believe me clouds wanaenda kupotea ndani ya mwaka mmoja,na sasa hivi tegemeo lao lipo kwa Soudy tu katika kupambana na WCB wengine kama wameanza kunyoosha mikono juu
Vipindi havijaanza mshajamba! Tulieni vianzeElezeni wasafi wana vipindi gani?
WCB kwa sasa ni kama maji utake usitake utayanywa tu hata ukiwachukia utawaangalia kimya kimya tu. Ukweli ni kwamba Diamond platnumz na WCB nzima wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuiteka kona ya Mitandao ya kijamii kutokana na brand yao kuwa na Fan base kubwa na inaongoza kufwatiliwa na watu wengi.
Baada ya Diamond kuanzisha Wasafi festival imekuwa ni pigo kubwa kwa clouds, huku wakijikuta wanaanzisha vijembe kuwa wasafi wanateseka wakati wao wenyewe ndio wanateseka
Clouds kwasasa imekosa mvuto, ubuyu wote ulikuwa wcb sasa wamebaki wanatapatapa, ipo siku boss ruge atakapopata nafuu atakuja kumlilia Diamond warudi kama zamani, ni swala la muda tu