Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo mjini siku nyingi wakati profesa Jay anajiita nigga J, kaa chini tuliza mshono think twice then fikiria clouds kabla ya kuwa anatumia 88.5 alikuwa anatumia frequency ipi kama sio 88.9 iweje WCB Waje kutumia ile ile "kusaga sio mtu mzuri jiulize kwa nn Bdozen apige tangazo la wasafi fm "time will tell "
huo umaarufu wa Diamond ndio utakaoiua Clouds kwa taarifa yako! Leo Messi au CR7 wakianzisha kitu dunia nzima ipo nyuma yao kwa sababu ya fanbase kubwa. Celebrities wengi dunian wamefanikiwa sana kwa sababu ya fanbase. Clouds, itapotea taratibu, toka WASAFI FM imeanza kurusha matangazo, hapa DSM karibu kila kona nayopita, nakuta watu wa rika zote wametune WASAFI FM.
WASAFI FESTIVAL, haya ni mapinduzi mengine ktk burudani, ndio wanaweza kuwa na changamoto ya kupata wasanii wakubwa kwa sasa, but nakuambia hao WCB wenyewe, wanatosha kuandaa event na wakaperforme wenyewe tu, na uwanja wa Taifa ukajaa..!
Time will Tell
Dozen na tangazo la wasaf fm ???
Mchezo usiuchezee wewe...!Ukiacha fanbase ya diamond,,kwan yy ndo atakuwa anapresent kwenye vpnd vya radio au atakuwa host kila kpnd.mwsho wa sku watu wataangalia content ya vpnd
Mchezo usiuchezee wewe...!
watanzania mnapayuka sana tena mna tabia ya kushadadia vitu juu juu cjui nani kawaroga,WCB ni mali ya Clouds hilo ni tawi tu ila sbb ya umbumbu wenu na kutokufuatilia vitu ndio maana tupo tulivyo hatupendi utafiti na kujiuliza hii ni kwa phd na std seven wote Mungu atunusuruWCB kwa sasa ni kama maji utake usitake utayanywa tu hata ukiwachukia utawaangalia kimya kimya tu. Ukweli ni kwamba Diamond platnumz na WCB nzima wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuiteka kona ya Mitandao ya kijamii kutokana na brand yao kuwa na Fan base kubwa na inaongoza kufwatiliwa na watu wengi.
Baada ya Diamond kuanzisha Wasafi festival imekuwa ni pigo kubwa kwa clouds, huku wakijikuta wanaanzisha vijembe kuwa wasafi wanateseka wakati wao wenyewe ndio wanateseka
Clouds kwasasa imekosa mvuto, ubuyu wote ulikuwa wcb sasa wamebaki wanatapatapa, ipo siku boss ruge atakapopata nafuu atakuja kumlilia Diamond warudi kama zamani, ni swala la muda tu
Muulize Sudi Brown, ndio anajua maana ya huo msemo wako, baada ya Shilawadu kumfia..!Kwani unateseka bro???
Tatizo unalinganisha mtoto na mtu mzima. Halafu unamsifia mtoto kukua kwa kasi kuliko mtu mzima. Ebu jaribu kutumia akili kidogo na uache mihemko na uteam.WCB kwa sasa ni kama maji utake usitake utayanywa tu hata ukiwachukia utawaangalia kimya kimya tu. Ukweli ni kwamba Diamond platnumz na WCB nzima wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuiteka kona ya Mitandao ya kijamii kutokana na brand yao kuwa na Fan base kubwa na inaongoza kufwatiliwa na watu wengi.
Baada ya Diamond kuanzisha Wasafi festival imekuwa ni pigo kubwa kwa clouds, huku wakijikuta wanaanzisha vijembe kuwa wasafi wanateseka wakati wao wenyewe ndio wanateseka
Clouds kwasasa imekosa mvuto, ubuyu wote ulikuwa wcb sasa wamebaki wanatapatapa, ipo siku boss ruge atakapopata nafuu atakuja kumlilia Diamond warudi kama zamani, ni swala la muda tu
yes hichi ndicho kinachofanyikaKama ni kweli WCB redio ya Kusaga basi utakuta hii tension baina ya Diamond, Ruge na CMG wameitengeneza makusudi ili redio na tv vikick halafu wanakuwa wanatazama wanacheka kabisa jinsi wanavyo control raia kama vile wana human remote control
Zote za Jose, hiyo ni mbinu ya biashara tu.WCB kwa sasa ni kama maji utake usitake utayanywa tu hata ukiwachukia utawaangalia kimya kimya tu. Ukweli ni kwamba Diamond platnumz na WCB nzima wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuiteka kona ya Mitandao ya kijamii kutokana na brand yao kuwa na Fan base kubwa na inaongoza kufwatiliwa na watu wengi.
Baada ya Diamond kuanzisha Wasafi festival imekuwa ni pigo kubwa kwa clouds, huku wakijikuta wanaanzisha vijembe kuwa wasafi wanateseka wakati wao wenyewe ndio wanateseka
Clouds kwasasa imekosa mvuto, ubuyu wote ulikuwa wcb sasa wamebaki wanatapatapa, ipo siku boss ruge atakapopata nafuu atakuja kumlilia Diamond warudi kama zamani, ni swala la muda tu
Avatar inajieleza mkuuMe/Ke?
Avatar inajieleza mkuuMe/Ke?
Avatar inajieleza mkuu