Ipo siku Clouds FM itawapigia magoti WCB kukubali yaishe

Dozen na tangazo la wasaf fm ???
 
Ukiacha fanbase ya diamond,,kwan yy ndo atakuwa anapresent kwenye vpnd vya radio au atakuwa host kila kpnd.mwsho wa sku watu wataangalia content ya vpnd
 
Clouds fm
Pb-babra,masud,fred,bonge etc
Leo tena-musa,dahuu,
XXL-dozen,mamy,mchomvu,kenedy,mnyama mkal (fety pia atarud)
Jahaz-kibonde,...
Amplfaya-millard,meena
Sport-shafihi,alex ....
Ala za roho -diva
 
watanzania mnapayuka sana tena mna tabia ya kushadadia vitu juu juu cjui nani kawaroga,WCB ni mali ya Clouds hilo ni tawi tu ila sbb ya umbumbu wenu na kutokufuatilia vitu ndio maana tupo tulivyo hatupendi utafiti na kujiuliza hii ni kwa phd na std seven wote Mungu atunusuru
 
Tatizo unalinganisha mtoto na mtu mzima. Halafu unamsifia mtoto kukua kwa kasi kuliko mtu mzima. Ebu jaribu kutumia akili kidogo na uache mihemko na uteam.
 
Kama ni kweli WCB redio ya Kusaga basi utakuta hii tension baina ya Diamond, Ruge na CMG wameitengeneza makusudi ili redio na tv vikick halafu wanakuwa wanatazama wanacheka kabisa jinsi wanavyo control raia kama vile wana human remote control
yes hichi ndicho kinachofanyika
 
Naona umeandika kiushabiki tu lakini hauna stfong point za kusema clouds itakufa au kupotezwa na wasafi inasimama sababu ya diamond alafu kumbuka clouds ni taasisi iliyosimama bila kujali Ruge wala Kusaga.
Naimetumia nguvu sana kujitengenezea sifa.
Jaribu kaungalia vipindi vyao achana na kelele za kwenye social networks hizo.
Na unapozungumzia Soudy Brown na Shilawadu kuongea ni kawaida sio kama wanawafatilia wasafi ndomana hauoni wakina Bdozen au Gardner wakizungumzia inshort ni kazi maalumu siku zote.
 
Zote za Jose, hiyo ni mbinu ya biashara tu.
 
Ni mtu zezeta peke yake atakayebisha kwamba CMG wameshikwa pabaya na WCB..

Yaan CMG hawaamini kinachotokea kwenye sekta ya burudani,wanatamamni wamuombe msamaha bwana Domo lakini wanaona aibu

Imagine watu wanafanya tamasha mtwara mbaali kabisa uko na dar lakini bado wewe unayefanyia tamasha dar unahanya hanya!!

Ushajiuliza,what if WCB na wao wangelisimika tamasha lao hapo hapo Dar the same day?! si wangekufa hawaaa??

Wakubali,wakatae,Domo ana nguvu sana sasa hivi kiasi kwamba wanashindwa namna ya kumzuia

Unashindana na mtu anayetumbuiza Mtwara wakati wewe unatumbuiza dar? poor CMG
 
Naipenda WCB ila wajaribu kutumia akili kidogo, hivi vijembe vya nini??

Ninachokiona wanataka kila Msanii awe upande wao, kwa hiki alichokipost ni kumuharibia Roma huko Clouds.

Mbona Majay hakua hivi? Halafu wanatakiwa wajue Makonda ni mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ana haki ya kui-support media yoyote ile.

Wanaboa
 
Efm walishindwa kwakua wao na CMG wanafanana kimuundo, hivyo EFM wasingeweza kumuangusha CMG aliye mkongwe kwa kutumia njia ileile iliyo muimarisha CMG ambaye anajua kila kitu. WCB wananjia na sifa tofauti. Kwanza ni wasanii tena wanao uongozi Sanaa ya Tanzania. Ndio wanao amua ni aina gani ya mziki itambe Tanzania mfano baada ya Diamond kuimba Eneka kila mtu nalitaka kuimba hivyo, sasa wanaimba Matusi tumeona akina Maua ambao wako chini ya CMG nao wanaimba mambo yabanwa na haja wakiona midume. Hiyo ni mifano kidogo. WCB wana kitu cha ziada lililo CMG na E-Media yaani wao ni Wasanii nauli na wanayo Media zao na isitoshe habari zao ni pendwa na zinapatikana kwao tu. Tumeona Milard Ayo ananza kuona Moto na kujisogeza taratibu . Clouds wamefeli kumshusha mondi kwa kutumia Darassa na Aslay. Huko kwa Kiba nalo picha iko tofauti maana naye kwa sasa anawaza kujiimarisha na sio kutumikia watu. Ndio maana Kiba hauko Fiesta naye kuandaa shoo huko Kahama hiyo hiyo tarehe ya Fiesta na Wasafi Festival.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…