Ipo siku Jux atamuacha Vee, atarudi kwa Jackie

Actually Vee hajawahi kumpenda Jux. Hata akiongea kuhusu Jux si kwa mapenzi ni vile tu anamheshimu na anajua he is a good guy na uhusiano wao unamfaa kibiashara maybe.
It makes sense. Jux naye kuna muda kama anazama na kutoka.

Pia kusamehe ishu ya EB kunadhihirisha kweli jamaa ni good guy na analinda interests zake za kibiashara.

Mapenzi? Hakuna.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo EB ana mke lakini amezaa na mchepuko ambaye aliwahi kuwa Miss wa Mkoa fulani upo Kanda ya Ziwa. Anaitwa NF.

Sent using Jamii Forums mobile app

Huyu naye anajikuta kiwembe cha NACET kinakata hadi mamba.

Halafu sipendi wanaume walafi. Mtu kama Ruge ndo mwanaume wa kweli; wanawake wake wote type moja hadi unaweza muexcuse kuwa ni matamanio ama "weakness". Sio unakula mwenye tako hiha, shepu ya kichaga, kimbaumbau, wenye sura tu mwili haujulikani unaenda au unarudi, tukirudi kwa mkeo mwili wa simba. Ilimradi tu umekula.
 
Mmmh hivi jux na mdogo wake vanessa ilikuwaje?!


Sent using Jamii Forums mobile app
Nasiki Jux aliwahi mkaanga Mimi Mars hapo ndo ikawa balaaa... Lakini ugomvi ulianzaga serious kipindi kile Vanessa alipiga mapicha na Trey songz na Jux akajua hapo tayari nishaliwaa... Kwenye hii couple nilichogundua ni kuwa Vanessa ana over confidence sana... Yani hajalii kama Jux..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naam. Kwa maneno machache tunaweza kuita 'Uvulana'.

NB: Natamani kukiona kiwembe cha NACET. Una picha yake? [emoji54]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

We ni Ke au Me?
 
hahha.. ila wewe .
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwali umenifanya nicheke kwa sauti!! Yaani kuna wanaume walafi, tena walafi kwelikweli
 
v tunajipigia tuu, ila kei mnato kama sumaku yamotoooo kama πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Si mnaendelea kufuatilia nyendo za Jux eeh?
 
Prophecy inaelekea kutimia. Ni suala la muda tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…